SISI NI NANI?
QNET ni kampuni ya uuzaji wa moja kwa moja ya kielectroniki ambayo inawapa wateja kote ulimwenguni bidhaa na huduma za kipekee za hali ya juu, huku ikiwapatia fursa ya kujenga biashara ya uuzaji kwa kukuza bidhaa hizi.
Biashara ya kweli ulimwenguni, nguvu ya QNET iko katika utofauti wetu. Ingawa sisi ni wa urithi wa Asia, wasambazaji wetu wameenea Mashariki ya Kati, Asia Kusini na Mashariki, Afrika, Asia ya Kati, na Uropa. Nyayo za kampuni hii zimesaidia kukuza wafanyabiashara wadogo katika uchumi unaoibuka.
KARIBU QNET
https://youtu.be/CoJ_th9oHfU
Tunaleta watu pamoja kutoka kote ulimwenguni. Wateja wetu na wasambazaji wamejiunga na jamii ya kimataifa, tukisaidia watu kuchukua sukani ya maisha yao. Mamilioni ya wateja walioridhika na zaidi ya wasambazaji milioni moja wameboresha maisha yao pamoja na sisi katika miaka 20+ iliyopita.
QNET imeacha athari nzuri katika nchi zaidi ya 100 ulimwenguni tangu mwaka 1998.
MTAZAMO WA QNET
Wateja kote ulimwenguni
Maelfu ya bidhaa
Urithi wa miaka 20+
Miundombinu katika Nchi 25
Usaidizi katika lugha za asili
Miradi ya CSR katika miji 37 kote ulimwenguni
Sehemu za usambazaji kote ulimwengu
Programu ya simu inayoaminika
MAADILI YETU YA MSINGI
Maadili ya msingi ya QNET yameongozwa na falsafa ya waanzilishi wetu wa RYTHM:Â
– Jiinue Ili Umsaidie Mwanadamu –
UADILIFU
Ukweli juu ya yote. Ukweli katika yote. Uadilifu katika mawazo, neno na vitendo.
HUDUMA
Tunawatumikia ili tuwaongoze na tunawaongoza ili tuwatumikie. Huduma kwa wote ni sifa yetu.
DUMU
Sisi tu ni watunzaji wa kizazi kijacho. Lazima tuhifadhi, tuendeleze na kufufua mazingira yetu.
UONGOZI
Ongoza ili uhamasishe na hamasisha ili uongoze. Tunakuza na kufunza ujasiriamali kama njia ya uhuru, ujumuishaji na uvumbuzi.
RYTHM
Waanzilishi wa QNET wamehamasishwa sana na maisha na kazi ya Mahatma Gandhi, kiongozi mzuri, mtetezi wa haki za kibinadamu na mwanaharakati. Mafundisho ya Gandhi ndio msingi wa RYTHM – Jiinue Ili Umsaidie Mwanadamu. Wazo la kuwawezesha wengine kufanikiwa ili kufanikiwa liko kwenye kiini cha biashara yetu.
KATIKA-HUDUMA
Tunatetea wazo la kuwa katika Huduma kama tabia muhimu ya uongozi. Waanzilishi wetu wameingiza tamaduni za huduma badala ya ubinafsi zenye nguvu zaidi, kwa wafanyikazi na katika mtandao. Tunaamini kuwa kuwahudumia wengine kwa unyenyekevu ndio alama ya kweli ya kiongozi.