Tuesday, September 27, 2022

Usiwe Na Shaka: Dondoo Bora Za Kusafiri

Dunia  kwa taratibu infaunguka tena.

Ndio, Covid-19 bado haijatoka. Lakini swala hilo limeweza kudhibitiwa zaidi kuliko miaka miwili iliopita. Hivyo, nchi nyingi zimeamua kufungua mipaka na kutandika kapeti jekundu kupokea wasafiri tena.

Bado, kusafiri kunaweza kuwa kumebadiliki kidogo tangia safari yako ya mwisho. Na zile foleni za ndani ya uwanja wa ndege zinaweza kuwa ndefu zaidi ya unavyo fikiri.

Lakini usiwaze kwasababu tiketi ya kuwa huru na mawazo ya kusafiri mwaka 202 na mara kwa mara, na kuwa mwenye furaha kwenye likizo yako ni katika kuzingatia sheria chache za msingi.

Hizi ndizo za muhimu:

Pangilia mambo yako ya muhimu

sort out the essentials for stress-free travel

Kabla ya kitu chochote, unatakiwa kuangalia pasipoti yako kama bado unaweza kusafiri nayo au inakaribia kuisha mda wake wakusafiri.

Kupata pasipoti mpya sio rahisi kama ilivyo kuwa zamani. Kutoka nchi ya Marekani hadi nchi ya Sweden, watu wamekuwa wakilalamika kuhusu mistari mirefu wakati wakiwa kwenye ofisi za uhamiaji. Kwahivyo ni mantiki kusuluisha hili mapema kuepuka mafadhaiko yoyote yasiyo na lazima.

Ni muhimu pia kuangalia bima na sera yako, je zinakulinda kikamilifu na dhidi ya nini.

Katika miaka miwili iliopita, watoaji bima wengi wameweza kubadilisha sera ilikufunika Covid-19. Lakini ni vizuri kutokuchukua mambo kwa kawaida – haswa kwa kupanda kwa kesi za Omicron – hivyo cheki na cheki na cheki tena afya yako.

Fanya uchunguzi

Mara baada ya kuamua safari yako,chukua mda kujua nini kinahitajika kwa ajili ya safari au uwendako.

Sheria za afya na usalama zimekuwa kali kidogo sasa, asante kwa wale wengi walio weza kupata chanjo na kuimarishwa. Lakini  mahitaji yanatofautiana kulingana na sehemu unayoeneda.

Hivyo ili kuepuka dharura zozote na kuhakikisha unafurahia safari yako badala ya kua na uzuni  ukiwa karantini, ni vyema kuwa na habari zote.

Angalia tovuti za serikali na ndege/treni/barabarani za ushauri wa usafiri. Tovuti za wasafiri pia ni vyanzo vizuri vya habari.

Kuwa Mwepesi kubadilika

Essential tips for travel scaled Ufahamu Wa QNET

Bila shaka ni salama zaidi sasa kuliko ilivyouwa muda mfupi uliopita. Lakini kumbuka kuwa hali zinaweza badilika haraka.

Baada ya yote, ni miezi michache tu iliopita kirusi Omicron kiliingia na wasafiri wengi walijikuta wamekwama.

Hivyo, la msingi ni kubadilika na kuwa wazi kubadilisha mipango wakati hitaji linatokea. Kwa kifupi, nenda na mtiririko.

Huwezi fanya safari fupi za kimataifa? Usiruhusu hilo likushushe. Badala yake chagua kwenda karibu na wewe. Kuna sehemu mbalimbali za nyumbani na za likizo ambazo zinaweza kuwa nzuri zaidi.

QVI, jukwaa la QNET  la kufanya maandalizi mitandaoni la moja kwa moja, ina idadi kubwa ya sehemu tofauti unazo weza zingatia kukaa kwa muda mrefu au kwa muda mfupi nyumbani au nje ya nchi.

Panga Ratiba za Safari

Ingawa kubadilika ni muhimu, unapaswa, hata hivyo, kuwa na lengo la kukamilisha na kutatua mambo kama ratiba za usafiri na hasa, malazi kabla.

Watu wengi wanaotaka mapumziko wanafanya vitu dakika za mwisho, ndege na hoteli zinauza kwa haraka na bei zinapanda. Kwa hivyo itasaidia kuandaa nafasi yako ya malazi mapema.

QVI Tripsavr ni tovuti nzuri yakuweka/kuwahi nafasi mapema katika safari zako ambapo unaweza pata bei nzuri na vifurushi ambavyo unaweza kubinafsisha ili kuendana na mahiytaji yako.

Unataka kukodisha gari na  shughuli za likizo pia? Unaweza fanya kupitia QVI Tripsavr, na upate pointi kwa ajili ya familia na marafiki katika mchakato.

Na kama wewe ni mwanachama wa QVI Club, faida zako za muda mrefu zitakuja kwa manufaa na QVI Club, ambapo unaweza kuhifadhi likizo yako hadi miaka 30.

Wajibika na kuwa Macho

Tips for travel 2022 Ufahamu Wa QNET

Ili kusisitiza jambo tulilosema hapo awali – Covid-19 haijaisha wala kwenda popote. Kwahivyo wakati ni vizuri kwamba tunajaribu kuishi na ugonjwa huo, ni vyema kutosahau vyote tulivyo jifunza.

Shirika la afya duniani inaorodha kamili ya ukaguzi za vitu unaweza fanya na usivyoweza fanya na unapaswa kurejelea.

Lakini kimsingi, kumbuka kufuata itifaki za afya na usalama, usisafiri ikawa kwamba unajisikia vibaya, na ikiwezekana, kuwa na seti kamili ya usafiri ya vitu muhimu vya janga kama barakoa, vifutio vya mikono,  na vitu vya kujipima kwa urahisi vya mkononi.

Kiufupi, kwenda katika likizo ni ngumu zaidi ya kuliko ilivyo kuwa. Lakini ikiwa mtu anawajibika na kukaribisha, kurejea 2022 haimanishi kuwa na furaha kidogo.

habari mpya
spot_img
Related news