Saturday, June 3, 2023

Jielimishe ili kubaki Salama wakati wa Masuala ya kiafya Ulimwenguni

Ondoa hofu na habari potofu, na ujipatie taarifa na ujuzi wa hivi punde unaohitaji ili kushughulikia masuala ya kiafya duniani. Ni jambo la maana sana, hasa sasa, kufanya kadri ya uwezo wetu ili kuzingatia afya zetu, na kujiweka sisi na wapendwa wetu salama. Badala ya kushikwa na mfadhaiko na changamoto zote, jitayarishe na maarifa sahihi ya kukusaidia katika wakati huu mgumu.

Kwanini ni muhimu kua na Taarifa sahihi

Malcolm X aliwahi kusema, “Elimu ni pasipoti ya siku zijazo, kwa maana kesho ni ya wale wanaoitayarisha leo.” Kwa kuwa wengi wetu hatuwezi kutumia pasipoti zetu halisi kusafiri kwa sasa, hii inaonekana kama chaguo bora zaidi. Ukweli wa mambo ni kwamba, hatukosi fursa za kujifunza, na fursa moja kama hiyo imejitokeza sasa. Kumbuka, ujuzi ndio ufunguo wa kuwa na amani ya akili. Kwa hivyo, tunapokaa ndani, tuelimike, tuwe na habari, na tubaki salama.

Jisajili kwenye Kozi ya Afya na Usalama ya qLearn

Kupata maarifa zaidi kunamaanisha uwezekano wa kuwa na hofu kiasi; inakufanya uweze kujibu maswali yanayokuhusu na, hatimaye, kukufanya ujisikie salama zaidi. Baada ya yote, Msongo wa mawazo mara nyingi huaribu mfumo wa kinga mwilini mwako. Na katika nyakati kama hizi, tunaihitaji kua katika kiwango bora.

Kuwa mwenye shauku linapokuja suala la afya na usalama wako na kwa wapendwa wako kwa kujiandikisha kwa kozi ya qLearn ya Health and Safety ambayo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako. Huhitaji kutoka kwako ili kujifunza mada mbalimbali zinazojumuisha jinsi ya kudumisha maisha yenye afya, utangulizi wa Huduma ya Kwanza, na hata moduli kuhusu ufahamu wa Afya ya Akili. Kupitia kozi hii, unaweza kujielimisha juu ya faida za mazoezi ya mwili na lishe bora ambayo sasa ni muhimu sana kama njia za kuweka mifumo yetu ya kinga kufanya kazi katika hali bora zaidi.

Chukua wakati huu kujitayarisha na maarifa muhimu juu ya ustawi wako, na maswala ya afya ya kimataifa. Jambo muhimu zaidi kwa sasa ni elimu – kuzuia kupagawa/kuchanganyikiwa na Pamoja na kujijulisha vyema juu ya jinsi ya kudhibiti afya yako mwenyewe na kuhakikisha usalama wa wapendwa wako. QNET ipo Pamoja na wewe kwenye hili, ikikupa kozi ya mtandaoni ya Afya na Usalama ya qLearn! Jiandikishe leo.

habari mpya
Related news