Wednesday, May 31, 2023

Njia Saba za Kukuweka Katika Hali Nzuri Wakati wa Wiki ya Kazi

Unaweza kupenda kazi yako; na unaweza kuipenda sana. Lakini hiyo haimaanishi kuwa kila siku itakuwa ya kukimbia nyumbani na kwamba utaepuka na siku ngumu za kazi.

Labda mahitaji mengi ya mahali pa kazi yamepunguza umakini wako. Labda msururu wa dili ambazo hazijatimia zimepunguza uamsho wako,au matatizo katika maisha yako yameathiri kazi.

Haijalishi ni sababu gani, fahamu kwamba sote tumepitia nyakati mbaya, lakini hakika hazitodumu.

Pia, inawezekana kabisa kuondoa msongo wa mawazo, na kuwa mwenye furaha. Unahitaji tu kufuata sheria chache rahisi.

1. Hakikisha eneo lako la kazi ni safi na nadhifu

Coworking Space to Lift Your Spirit

Ikiwa unafanyia kazi mawasilisho yako kwenye kona ya sebule yako au ofisi, mazingira yako ni muhimu. Na kulingana na wataalam, nadhifu ni bora zaidi.

Ndiyo, dawati lenye  korokoro nyingi linaweza kusaidia watu wengine, kwa wengi msongamano ni sawa na mafhadhaiko.

Kwahiyo ondolea mbali mambo ambayo huhitaji na uhakikishe kuwa eneo lako la kazi ni safi na nadhifu. Kwa kuongeza zaidi , weka hata mmea mmoja – au hata matatu.

2. Inuka, Angaza na kua makini

Sio siri kwamba usingizi ni muhimu kwa ustawi wetu wa kimwili na kiakili. Lakini, vile vile ni muhimu kuamka kwa furaha na kama unaweza , amka dakika 20 kabla ya muda wa kawaida

Dakika 20 za kwanza baada ya mtu kuamka – inayoitwa hatua ya Alpha – ndipo tunapokuwa macho zaidi. Hapo ndipo akili inafanya kazi zaidi na kua na maarifa zaidi. Kwa hiyvo mara moja, fanya kitu chanya ili kuanza siku yako.

Jaribu kutafakari, kujiweka katika hali sahihi.

3. Lisha mwili wako

Kula vizuri ni muhimu kama vile kuamka sawa. Na ili kua na furaha, kamwe usiepuke kifungua kinywa.

Kifungua kinywa chenye lishe kamili huuisha mwili wako kwa kazi za siku na kukufanya kuwa mtulivu. Kwa hiyvo, kinyume chake kukosa milo kunaweza kuumiza mwili na kukufanya usikie uchovu.

Kifungua kinywa weka pembeni, kuna vyakula vingi ambavyo vinaweza kukuweka katika hali ya furaha. Kama vile Oats, na nafaka, na vitamini B6 katika ndizi inaweza kusaidia kuunganisha Dopamine, yaani homoni ya furaha ya mwili.

4. Jiondoe Kwenye Mazungumzo Hasi

Kazi , iwe ofisini au nyumbani au kama mmiliki wa biashara, muuzaji wa moja kwa moja au mjasiriamali , mara nyingi hukutana na watu wa kila aina. Lakini kujihusisha mwara kwa mara na watu wasio na maoni chnaya kunaweza kukuchosha.

Kwa hiyo, inapowezekana , jaribu kujiondoa kwenye mazungumzo mabaya. Ingawa usijifiche. Badala yake, jaribu kujizuia usiingie katika matatizo yasiyo ya akili yanayoletwa na watu wenye maoni hasi.

Chaguo lingine ni kuelekeza mazungumzo katika njia chanya. Ni ngumu, bila shaka lakini inawezekana.

5. Sawazisha Nguvu yako

Hata kama hutaruka milo na kudhibiti watu wenye hasi, unaweza kuhitaji usaidizi wa kusawazisha nguvu yako na kuongeza uamsho chanya.

Hapo ndipo kidani cha Amezcua Chi Pendant 4 inapokuja.

Imetengenezwa kufuatia utafiti wa kina katika nyanja za kisasa za kisayansi za nishati na jiometri sawia, Amezcua Chi Pendant 4 inapatanisha nishati asilia ya mwili au  “biofield” na ile ya maisha yetu yalioonyeshwa.

Hii husaidia kurejesha usawa wa nishati ya mwili, kuongeza hisia nzuri na kwa ujumla kukufanya uwe hisia chanya zaidi.

Kidani hichi,pia hukukinga dhidi ya E-smog or electrosmog yaani, mawimbi yaki magneti yasiyo ya ioni ambayo hutoka kwenye vifaa na yanaweza kutatiza ustawi wa kiakili na kimwili.

6. Usihangaike na vitu vilivyo nje ya uwezo wako

Hakika, kupata mafanikio au kufanikisha mipango na wateja wagumu ni muhimu. Ditto kusherehekea mafaniko madogo yanaweza kuboresha mtazamo wako.

Kisichosaidia ni kuhangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.

Ndio, changamoto hujitokeza kila wakati. Na ndiyo, unaweza kuwa na viwango vinavyohitajika.  Lakini unapaswa pia kutambua kwamba kuna tofauti kati ya kushughulikia hali na kurekebisha matatizo ambayo huwezi kufanya lolote kuyahusu.

7. Tegemea Marafiki na Familia

Ni kawaida kutaka kujiondoa katika hali za kijamii wakati mambo yanaonekana kuwa magumu. lakini , kutengwa kunaweza kuathiri sana ustawi wako.

Kinyume chake, kuwa na marafiki wa karibu na familia kunaweza kutoa kemikali za kuongeza hisia mwilini.

Kwa hivyo badala ya kujifungia mwenyewe, fikiria kwenda kula chakula na rafiki au kupiga simu kwa wanafamilia.

Mambo haya rahisi yatasaidia kuongeza hisia zako za kuwa mtu, kukufanya mtulivu , kuboresha tija kazini na kukupa nguvu unayohitaji.

habari mpya
Related news