Friday, October 7, 2022

Maeneo Tano Bora ya Likizo Mwaka 2022

Je,unafikiria mahali utakapoenda likizo ijayo? Usiongee ziadi, kwa kuwa sisi QVI tumekuandalia orodha ya maeneo bora ya fukweni kwa ajili ya mapumziko yako yajayo kwa kuzingatia miji iliyotazamwa sana katika tovuti yetu ya usafiri ya Tripsavr, tumechagua maeneo machache ya kusisimua ambayo ni lazima utembelee  na wasafiri wenzako- iwe unarudi kwa mara ya nyingine au unaenda kwa mara ya kwanza.

Hizi ndizo chaguo zetu tano bora za maeneo ya likizo mwaka wa 2022:

image of goa beach india holiday destinations

Goa, India

Paradiso kwenye pwani ya magharibi ya India, wasafiri wanaokuja Goa wanahakikikishiwa kuwa na wakati mzuri wa kipekee na tofauti kwa kila ziara. Jitaharishe kwa ajili ya shamrashamra za kanivali ya Goa inayofanyika Machi ya kila mwaka, wakati ambapo mitaa ya miji mingi huchanua kwa rangi nzuri, muziki na dansi. Ingawa jimbo hilo linajulikana sana kwa fukwe zake na starehe za usiku, kuna shughuli nyingi zakitamaduni za kushiriki kwa wale wanaotafuta kujua urithi wake na uteuzi wa hoteli katika maeneo maarafu ikiwa ni pamoja na Nanu Resorts na Key Hotel Ronil, weka nafasi ya safari yako ya kwenda Goa kwa kutumia QVI kwa burudani bora ziadi.

image of a beach in antalya turkey holiday destinations

Antalya, Turkey

Lulu ya Mediterania. Kutoka kwenye ufukwe wake safi hadi migahawa ya kando ya miamba hadi magofu ya Greco-Roman, haiba ya kitamaduni ya Antalya imehifadhiwa kwa mtindo. Staajabu katika uwanja wa michezo wa kale wa jiji na kumbi za sinema, tumia siku nzima kupumzika ufukweni, furahia mandhari ya kuvutua ya bahari huku ukinywa kikombe cha kahawa ya Kituruki au shiriki katika tukio laa kusisimua la kucheza rafu- fursa za uvumbuzi zinaendelea kuongezeka. Kwa wale wanaotafuta mandhari ya kisasa, sherehe nyingi za kimataifa hufanyika mwaka mzima. Hapa, wanachama wa kalbu ya QVI  wanakaribishwa kila wakati katika Hoteli ya Dogan yenye starehe, iliyoko katikati mwa wilaya ya Kihistoria ya Kaleici na ufikiaji rahisi wa ufukweni na katikakti mwa jiji la Antalya!

image of camel hurghada egypt holiday destinations beach

Hurghada, Egypt

Kaa katika eneo la mapumziko la ufukweni, fanya safari za pikipiki za matairi manne hadi kijiji cha Bedouin, kunywa na kwenda kupiga mbizi katika Baharini. Mahali pazuri pa mapimziko tulivu kwa wanandoa na familia, Hurghada kutengwa kwa amani na wakati huo huo ufikiaji rahisi wa maeneo mengine nchini Misri. Sandbox, Umbali wa nusu saa tu kwa gari, tamasha la muziki la kieletroniki linalofanyika kila mwaka katika hoteli ya Pwani ya El Gouna. Kwa ukaaji wako wa kupumzika, kwenye ofa ni Hoteli ya Ufukwe ya Stella Di Mare & Spa iliyoko Makadi Bay. Ukiwa Misra, kwa nini usihusishe ziara yako na kituo katika jiji lingine la pwani? Vuka Bahari ya Shamu kwa mashua ya kivuko cha mwendo wa kasi na ufikie mahali pengeni, Sharm El Sheikh.

image of mount sinai holiday destinations

Sharm el Sheikh, Egypt

Lulu ya bahari ya Shamu na paradiso ya wapiga mbizi, miamba ya matumbawe ya Sharm el Sheikh ni nzuri sana. Zaidi ya hayo, kuna safari za jangwani zinazotia nguvu kwenye Peninsula ya Sinai iliyo karibu. Nenda kwenye safari na Jeep pitia jangwa ili kufika kwenye korongo la rangi ya kuvutuia. Panda Mlima Sinai ili ushuhudie mawio ya jua yasiyosahaulika na usimame kwenye nyumba ya watawa wakati wa kurudi. Chaguo zako za hoteli ni pamoja na Stella Di Mare Beach & Spa katika Naama Bay na Dreams Beach Sharma el Sheikh.

image of phuket thailand holiday destinations

Phuket, Thailand

Pamoja na visiwa vyake vya kijan vya Karst na urithi tajiri wa kitamaduni, haishingazi  kwa nini Phuket ni moja wapo ya visiwa maarafu vya Thailand, iwe unapumzika kando ya ufukwe au kuanza safari ya kuogelea, wageni hakika wataridhika. Msururu mpana wa mikahawa ambayo ni rafiki kwa watu wanao kula lishe ya mboga mboga inapitakana katika kisiwa chote, na kwa wale wanaotaka kushiriki katika wakati mzuri zaidi wa mwaka, tamasha la Phuket Songkran litakuwa tukio la kukumbukwa!Kwenye ofa ya Hoteli zenye mandhari ya kuvutia ya bahari, Absolute Twin Sanda Resort & Spa na Absolute Nakalay Boutique Hotel.

Je, unatarajia kusafiri? Yote hapo juu ni muhtasari tu wa maeneo ya likizo tunayotoa ulimwenguni kote. Agiza safari ukitumia QVI kwa likizo yako inayofuata isiyoweza kusahaulika!

habari mpya
spot_img
Related news