Wednesday, May 31, 2023

Mazoea 3 Rahisi na Endelevu ya Biashara inayoleta Tofauti

Kuzingatia mazoea endelevu ya biashara katika maisha yako ya kila siku ya kazi kutafanya tofauti kubwa – sio tu kwa timu yako bali pia kwa ulimwengu mzima. Hapo awali, biashara zilikwepa uendelevu kwa kupendelea faida. Lakini, wajasiriamali wengi waliofanikiwa siku hizi wanakumbatia njia bora zaidi ya kufanya biashara. Tayari umechagua kuwa na maadili kwa kuwa sehemu ya QNET yenye msingi ya uendelevu. Kwa hivyo, ikiwa unataka kuwa na biashara yenye maadili ambayo pia inazingatia sayari na watu, fuata tu mazoea haya rahisi lakini endelevu ya biashara.

Jitoe kwa mashirika yasio kuwa ya kiserekali

Tree planting QNET 3 Ufahamu Wa QNET

Njia bora ya kurudisha kwa jumuiya unazofanyia kazi ni kutumia wakati wako na NGOs (Mashirika yasiyo ya kiserekali) za ndani ambazo zinafanya kazi inayokuhusu. Jitolee katika nyumba za kulea wazee, cheza mpira wa miguu na vijana walio katika mazingira magumu, panda miti, tumia wakati fulani na wanyama wa makazi. Tenga wakati katika ratiba yako kuwa sehemu ya sababu unayohisi kwa shauku.

Zingatia Mazingira

HomePure BottleSelfieChallenge

Kuna njia nyingi ambazo unaweza kufanya uendelevu kuwa sehemu ya utambulisho wa chapa yako, na kujulikana kama mjasiriamali wa kijani. Usitumie karatasi pale unapoweza, hasa unapotumia zana za Biashara za QNET na watarajiwa wako. Waonyeshe nakala za kidijitali badala ya vichapisho. Punguza matumizi ya plastiki haswa za matumizi ya mara moja . Beba chupa ya maji inayoweza kutumika tena kwa vinywaji vyako.

Himiza Utamaduni wa RYTHM Pamoja na Timu yako

QNET Russia Absolute Living Run Novosibirsk 2021 (2)

Mazoea madogo ya biashara endelevu yana athari kubwa ikiwa timu yako nzima iko upande wako. Fanya “Jiinue Ili Kuwasaidia Wanadamu” kuwa msingi wa timu yako. Ni Kuelimisha timu yako kuhusu kila kitu ambacho QNET hufanya ili kuwa kampuni ya kijani na pia kuhusu Urithi wa Kijani wa QNET. haitoshi kufanya mazoezi endelevu katika biashara yako. Ni muhimu pia kwa timu yako kujitolea kama mazoea, kupunguza matumizi ya plastiki, kufuata mtindo wa maisha wa kijani kibichi, na kurudisha nyuma kwa jamii zao.

habari mpya
Related news