Tuesday, February 7, 2023

Ushirikiano

QNET imesaidia aina tofauti ya michezo kwa miaka, sio tu kwa sababu inasaidia chapa yetu ifikie hadira, lakini pia kwa sababu tunatambua kuwa michezo na ujasiriamali zinafanana

Kufanya kazi kwa bidii, kujitolea, kushirikiana, na kumakinika – hizi ni tabia ambazo mtu anahitaji ndio afanikiwe, katika biashara na michezo. QNET imesaidia timu ya michezo kama vile Mpira wa Magongo, Formula One na Soka, na pia inashirikiana na hafla za michezo katika Mchezo wa Badminton na Tenisi. Isitoshe, QNET pia inasaidia watu wenye talanta katika upandaji wa milima, sanaa ya kijeshi na mchezo wa magari.

USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Klabu ya Soka ya Manchester City

QNET ikawa Mshirika Rasmi wa Kuuza Moja kwa Moja wa Klabu ya Soka ya Manchester City, hiyo ndio ilikua mwanzo wa ushirikiano wa kimataifa na mshindani mashuhuri duniani katika mchezo wa soka.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

MCFC BG 21 1 e1613722038900 Ufahamu Wa QNET

USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Klabu ya Soka ya Manchester City

QNET ikawa Mshirika Rasmi wa Kuuza Moja kwa Moja wa Klabu ya Soka ya Manchester City, hiyo ndio ilikua mwanzo wa ushirikiano wa kimataifa na mshindani mashuhuri duniani katika mchezo wa soka.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

MDHAMINI RASMI

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

CAF inasimamia na kudhibiti mchezo wa kandnada barani Afrika na ndio shkubwa zaidi kati ya mashirikisho sita ya bara ya FIFA.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

African Footbal BG Ufahamu Wa QNET

MDHAMINI RASMI

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

CAF inasimamia na kudhibiti mchezo wa kandnada barani Afrika na ndio shkubwa zaidi kati ya mashirikisho sita ya bara ya FIFA.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

MFADHILI MKUU

Klabu ya Soka ya Petaling Jaya City

Klabu ya Soka ya PJ City ni timu ya nyumbani ya QNET iliyo tayari kuinuka kutoka kwa majivu na kupaa angani.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

PJCity Ufahamu Wa QNET

MFADHILI MKUU

Klabu ya Soka ya Petaling Jaya City

Klabu ya Soka ya PJ City ni timu ya nyumbani ya QNET iliyo tayari kuinuka kutoka kwa majivu na kupaa angani.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

MDHAMINI RASMI

Chethan Korada – Dereva wa Formula 3

QNET imekuwa ikimuunga mkono Chetan, ambaye ni dereva wa kwanza wa mbio za magari barani Asia aliye na miguu bandia na pia aliweza kuibuka mshindi katika mashidano hayo.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

Formula3 BG Ufahamu Wa QNET

MDHAMINI RASMI

Chethan Korada – Dereva wa Formula 3

QNET imekuwa ikimuunga mkono Chetan, ambaye ni dereva wa kwanza wa mbio za magari barani Asia aliye na miguu bandia na pia aliweza kuibuka mshindi katika mashidano hayo.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

MFADHILI MKUU

Shirikisho la Mpira wa Magongo Nchini Malaysia

Chapa ya QNET inaonyeshwa kwa kujivunia kwenye mikono ya nguo ya Timu ya Kitaifa ya Malaysia katika mashindano yote ya kimataifa, pamoja na Kombe la Dunia, Michezo ya Asia na Michezo ya Jumuiya ya Madola.

SOMA ZAIDI

TAZAMA SASA

Hockey BG Ufahamu Wa QNET

habari mpya
spot_img
Related news