Saturday, June 3, 2023

QNET yajinyakulia ushindi mara mbili katika Tuzo za 2021 Vega Digital

QNET inaendeleza ushindi wake katika Tuzo za 2021 za Vega Digital. Tulibeba tuzo mbili kuu za matoleo yetu ya dijitali katika Mobile Applicatiion katika vipengele vya video, na kuleta orodha yetu ya mafanikio kufikia 25 mwaka huu!

Je! Tuzo za 2021 Vega Digital award ni zipi?

Tuzo za 2021 za Vega Digital zinajulikana kwa kuheshimu ubora katika tasnia ya kidigitali. Sasa katika mwaka wake wa sita, wametoa ubunifu wa dijitali kwa kazi yao nzuri katika wavuti, programu za simu janja, video, podcast, uuzaji wa mitando ya kijamii. Washindi wa mwaka huu wamechaguliwa kwa njiaya kipekee bila kufahamika na jopo la kimataifa la wataalam ishirini na sita kutoka kwa tasnia za ubunifu wa kidigitali.

Aplikesheni ya simu ya QNET kujenga mafanikio ya mtandaoni

Tuzo za 2021 za Vega Digital zilitambua program za simu janja na apliksheni ya QNET   kwa ubora wake katika kitengo cha aplikesheni za Ununuzi. Huu ni ushindi wa tano kwa programu yetu ya QNET mwaka huu. Mapema, tumeshinda katika Tuzo za 2021 za Mashariki ya Kati Stevie®, Tuzo za Ubunifu za Hermes 2021, Tuzo za 2021 za Asia-Pacific Stevie®, na Tuzo za Daraja la Dhahabu la 2021.

Unaweza kupakua Programu ya QNET bure kutoka duka la kidijitali la App store , Google Play, na Huawei AppGallery.

Tofauti kati ya Kuuza Moja kwa Moja Na Mpango wa Piramidi

Ingizo lingine na mafanikio mengi katika hafla zingine, video yetu kuhusu uuzaji wa moja kwa moja ilitambuliwa kwa kutoa habari kwa undani juu ya tasnia hiyo katika muundo wa sauti na kuona. Kwa chini ya dakika sita tu, inajibu maswali muhimu juu ya uuzaji wa moja kwa moja na tofauti yake kutoka kwa miradi ya piramidi. Hapo awali, imeshinda katika Tuzo za dijitali za 2021 za AVA mnamo Januari, Tuzo za 2021 za Communicator mnamo Mei, na Tuzo za Video za 2021 NYX mnamo Julai.

Wacha tusherehekee ushindi huu wa hivi karibuni kwa QNET! Hakikisha kushiriki habari na mtandao wako!

habari mpya
Related news