Saturday, June 3, 2023

QNET yanyakua tuzo 5 katika tuzo za AVA digital 2022

QNET imeshinda kwa kishindo kikubwa katika 2022 AVA Digital Awards, inayoleta mwaka mpya wa Lunar kwa mtindo,ukiongeza katika kombe za ushindi tulizo shinda mwaka jana. Mwaka huu QNET meshinda tuzo na imepanda jukwaa moja na wakampuni ya kitaifa tofauti kama AT&T,GE Healthcare, Microsoft, Al Jazeera na Manulife.

Tuzo za AVA Digital awards ni nini?

Iliodhaminiwa na kujajiwa na Association na communication Proffesionals (AMCP), AVA Digital awards inatambua na kuheshimu bora ya bora zaidi katika ulimwengu wa dijitali. Meza ya majaji inakuwa na wataalamu wa mawasiliano,matangazo,uzalishaji na nyaja za masoko.QNET ilichaguliwa kwa tuzo 5 kutoka maelfu ya waliosajisajili mwaka huu.

QNET ni washindi wa platinamu kwenye tuzo za AVA Digital awards

QNET 2022 AVA Digital Awards 2 Ufahamu Wa QNET

QNET imepokea maoni bora katika mbili za miradi yetu ya kidijitali ambayo tuna fahari nazo. Tumepokea tuzo ya platinamu kwa ajili ya QNET and Sports: a history building of champions (historia inayojengwa kwa mabingwa) ya Youtube ambayo inaonyesha kina chetu cha kujitolea na uhusiano kama kampuni ya uuzaji wa moja kwa moja katika michezo. Tumepokea pia tuzo kwa nakala letu lipendwalo na wawakilishi huru Aspire 30 , QNET na gazeti la mtandaoni lenye habari za kutosha kutoka katika shambani, maonyesho ya bidhaa, na ushauri muhimu na mafunzo ya maisha kutoka kwa wataalamu.

Hawa ndio washindi wetu wa platinamu, kama ulikosa.

QNET washindi wa Dhahabu katika 2022 AVA Digital Awards

QNET 2022 AVA Digital Awards Ufahamu Wa QNET

Katika youtube yetu video inayoonyesha kwanini QNET ni kampuni bora zaidi katika mauzo ya moja kwa moja: sababu 3 tuzo za dhahabu AVA Digital. Ina elezea kwanini QNET ni bora zaidi katika mauzo ya moja kwa moja na ni chaguo bora zaidi kwako chini ya dakika 3 tu na sasa ina watu zaidi ya millioni moja ambao wameshaiangalia na bado inaongezeka katika YOUTUBE! Katika video ya  dakika 2 QNET kujitolea katika kutengeneza dunia endelevu | Bidhaa zenye Kusudi ambayo inaongelea mpango endelevu wa QNET na sera za kijani pia nazo zilishinda dhahabu.

Tukimalizia na washindi wetu wa 5 katika 2022 AVA Digital Awards ni QNET #bottleselfiechallenge ambayo ilitambulika katika mtandao wa kijamii yenye ubora wa kampeni ya ushiriki. Tulipokea maelfu ya waliojisajili kutoka katika watu mashuhuri wa QNET, VIPs, wasambazaji, na hata watumiaji wa kila siku wa mtandaoni ambao walipenda #(hashtag) na ujumbe nyuma yake.

Hawa ndio washindi wetu wa platinamu kama uliwakosa.

Ungana nasi kwa kusherekea ushindi wa ajabu ambao umetusaidia kuanza mwaka 2022 kwa kishindo! Kwa wingi zaidi hatua na mafanikio katika miezi inayo kuja!

 

habari mpya
Related news