Wednesday, May 31, 2023

QNET Yapata Ushindi mara tatu Katika Tuzo za MarCom za 2021


QNET ilitangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Platinum mara mbili katika Tuzo za MarCom za 2021. Tuliibuka kidedea katika kategoria za Uhusiano wa Kijamii na Programu ya Simu ya Mkononi. Pia tulishinda tuzo ya Dhahabu katika kitengo cha matangazo yaliyosambaa Zaidi mtandaoni, na tulitajwa kwa heshima ya Ahadi yetu ya QNET ya Kuunda video ya Ulimwengu Endelevu. QNET ilisimama ka upekee kutoka miongoni mwa waandikishaji 6000 kutoka Marekani, Canada na nchi nyingine 39. Hii ni mara yetu ya pili kutambuliwa katika tuzo za MarCom ambapo QNET ilikuwa imeshinda dhahabu mbili hapo awali.

Tuzo za MarCom za 2021 ni nini?

Tuzo za MarCom ni shindano la ubunifu linaloheshimiwa sana ambalo linatambua mafanikio kutoka kwa makampuni kote ulimwenguni. Jopo lao la waamuzi linajumuisha wataalamu wakubwa na kwa hivyo hawana upendeleo, wakiwa na uwamuzi wa haki kwa kila mshiriki. Wanatazama kazi ambayo kiwango chake cha ubora kipo juu na hivyo kiweka hicho kama kigezo cha kutizamiwa kwenye tasnia. Miongoni mwa washindi wa 2021 MarCom ni mashirika kadhaa ya kimataifa ya ubunifu pamoja na kampuni za Fortune 500. Washindi wa mwaka huu ni pamoja na 3M, AIG, Mastercard, PepsiCo na Amazon Science, miongoni mwa wengine.

Tuzo za Platinum MarCom za QNET

QNET 2021 MarCom Awards Platinum Winner Ufahamu Wa QNET

QNET ilitunukiwa kua mshindi wa Platinum katika vipengele viwili katika Tuzo za MarCom za 2021. Platinum ndiyo tuzo ya juu zaidi katika shindano hili la ubunifu, na tunafurahi kutambuliwa kwa Programu yetu ya Simu ya QNET ambayo ilishinda chini ya kitengo cha App for Business. Utangazaji wetu wa Maadhimisho ya 22 ya mitandao ya kijamii ya QNET – QNET Inayo Nguvu Kuliko Zamani – pia ilishinda Platinum. Kampeni hii ilitambuliwa kwa ubora wake katika ushirikiano wa kijamii, na ilijumuisha dondoo kwenye historia ya miaka 22 ya QNET, Namna kamera zetu za Uhalisia Ulioboreshwa kwa ajili ya maadhimisho hayo, pamoja na sherehe zetu mtandaoni za siku ya kuzaliwa na Toleo la Maadhimisho ya Aspire.

Tuzo za Dhahabu za MarCom za QNET

QNET 2021 MarCom Awards Gold Winner Ufahamu Wa QNET

Kampeni ya QNET na HomePure kwenye Siku ya Maji Duniani ilishinda Tuzo ya Dhahabu katika Tuzo za 2021 za MarCom. Tulipewa Tuzo ya dhahabu kwa ajili ya #ChupaSelfieChallenge yetu ambayo iliongeza ufahamu juu ya masuala muhimu sana ya mazingira. Tulitambuliwa katika Kampeni ya Uuzaji iliyoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii, sifa zifike kwa wasambazaji wetu na washawishi wa shirika ambao walifanikisha hili!

Ahadi ya QNET ya Kuunda Ulimwengu Endelevu

Pengine wakati wetu wa kujivunia ulikuja  tajwa kwa Heshima kwa juhudi zetu endelevu. Video yetu kuhusu bidhaa zinazoongozwa na kusudi ilipokelewa vyema, na ilitufanya tujivunie kuongoza juhudi kama hizo katika kuunda urithi wa kijani kibichi.

Sasa tumeshinda jumla ya Tuzo 33 za kimataifa mwaka huu. Jiunge nasi katika kusherehekea habari hii ya kufurahisha!

habari mpya
Related news