Wednesday, May 31, 2023

QNET Inaonyesha Mshikamano Kwenye Ubora Wa Maji, Muendelezo Wa Maji Na Maji Masafi Kwa Wote

QNET na Homepure imeweka alama kwenye siku ya maji duniani kwa kufanya maonyesho tofauti ya maji duniani kote. QNET mipango endelevu ya maji imehusiana kueneza ufahamu kwenye changamoto za maji na kutetea afya na jumuiya za maji zinazostawi duniani kote. Hivi ndivyo mipango endelevu yetu ilivyo mwaka huu.

Maji katika nchi za Africa kusini mwa janga la sahara

World Water Forum 2022 Senegal 21

Muendelezo wa kazi yetu Tanzania ambapo tulishirikiana na Water for Africa kusambaza maji safi vijijini Tanzania, tulishiriki kwenye jukwaa la World Water Forum ya 9 ,senegal mwaka huu. Mwenyeji akiwa World Water Council, jukwaa iliinua wasifu juu ya usalama wa maji na umuhimu wake kwenye kiuchumi , kijamii na kisiasa maendeleo ya nchi za Sub-SaharaN Africa. Qnet ilitambulisha HOMEPURE Nova kama suluhisho la maji ya kunywa safi iliotengenezwa na miaka 10 ya utafiti juu ya ubora wa maji.

Monyesho endelevu ya maji katika nchi za Africa Kaskazini

World Water Day workshop in Morocco 24

Nchini Morocco, QNET mipango endelevu ya maji ilichukua umbo la warsha (karakana) ambalo ilihusisha kupanda zoezi la kupanda miti. Na kwa msaada wa shirika lisilo la Kiserikali ya watoto Bab Rayan, tulielimisha kundi la watoto 70 kwenye umuhimu wa maji endelevu katika wakati wa mabadiliko ya hali ya hewa. QNET pia ilitoa mchango wa Home Pure Nova 2 za chujio za maji kwenye shule ili usalama na afya bora ya maji ni yao kwa muda mrefu.

World Water Day workshop in Morocco3

Nchini Algeria, tumeshirikiana na kundi za kibinaadamu kama Ness El Khir na kundi la mazingira la La Voix De La Nature ( the voice of nature) kwenye mradi wa kupanda miti kwenye nchi. Kama misitu iliokuwa na afya muhimu katika kudumisha vifaa vya kunywa duniani kote, huu mradi ni muhimu sana kwetu Qnet maji mipango endelevu. Mpango ni kupanda miti mia tano (500) ya mzietuni, komamanga na mtini kwa ajili ya kuamsha misitu nchini Algeria ambayo iliteketea na moto katika majira ya joto iliopita.

Athari za ulimwengu usio na mipaka katika mitandao ya kijamii

Kufanya utofauti duniani kote bila mipaka kuingilia kati, QNET imekuwa mwenyeji wa #watersourcechallenge kwenye mitandao yaki jamii na wasambazaji kadhaa wakifanya kuendeleza ufahamu. Hashtag hiyo imesaidia kutetea umuhimu wa maji safi na salama kwa ajili ya vizazi vijavyo. Wewe pia unaweza ingia kwenye kampeni yetu kwa kutumia hashtag na pia kupata nafasi ya kushinda chujio la HomePure water kwa ajili yako.

Kujitoa Kuwa na Uendelevu wa Maji na QNET

Miaka miwili iliopita imekuwa hasa yenye changamoto kama UVIKO-19 ikiendelea kutoa mkazo mzito kwenye swala la maji na usafi wa mazingira katika dunia – haswa kwenye jumuiya zinazoendelea na upatikano mdogo wa maji salama. Kama kampuni ya shughuli na wateja katika jumiya za uchumi zinazo endelea, tuna wajibu kutetea na kuchukua juhudi kutekelezamabadiliko  endelevu katika ugavi wetu na operesheni za kuendeleza huduma ya majikwa ajili ya kila mtu. Hii wiki ya maji duniani , tunajivunia kutetea kwa ajili maji endelevu na msaada wa kubuoresha miundombinu ya maji haswa katika sehemu guswa na uhaba wa maji kama Africa , Mahariki ya kati na zaidi. Qnet imekuwa ikitoa ushirikiano kikamilifu katika world water forum na mashirika mengine ya uboreshaji wa maji na mipango endelevu kwa miaka mingi’ amesema QNET CEO Malou Caluza.

“Udhaifu wa maji na usafi wa mazingira kwanza ilikuja kwetu wakati tunatafuta kuongeza bidhaa zetu zaidi ya muongo uliopita na tukazindua mfumo wa chujio la maji la kwanza chini ya chapa ya HomePure” Caluza akiendelea kuelezea. Tuligundua kuwa kugeuza maji kuwa masafi usambazaji wake ni gharama kubwa kwenye jamii nyingi na maji ya chupa ni ghali sana.

Ndio maana mfumo wa kuchuja maji wa QNET , HomePure Nova, unafanyakazi bila chanzo cha nguvu za umeme, kuwezesha watumiaji kupata faida ya kiwango cha dunia, NSF-Certified mfumo wa kuchuja ikibaki kuwa gharama nafuu na rafiki kwenye mazingira,” Caluza alisema. “Tumetoa vitengo vingi vya HomePure Nova kwenye jamii ambazo zinakosa upatikanji wa maji salama na chanzo endelevu za maji.  Kwa mfano  kwenye kilele cha uviko-19, Qnet ilitoa HomePure Nova chujio za maji katika vyuo vikuu na hospitali nchini Casablanca , Morocco , na hospitali nchini Kazakhstan, kama sehemu ya miradi nafuu wakati wa uviko-19 ambayo ilisambaa zaidi ya nchi 30.”

habari mpya
Related news